Details
Description
#Lipia kodi ya mwezi mmoja mmoja??? #Furnished Master bedroom for rent at Kimara Korogwe @200K X1 Au @180k x3 #Chumba master kizuri, fenced, Parking, Umeme BURE, MAJI BURE, Kitanda BURE, Godoro BURE, zina Feni Juu, Mazingira Tulivu sana. #Kodi 200,000/= x1 (kodi kuanzia mwezi mmoja) Au #kodi 180,000/= x3 (kwa miez mitatu) #ipo Kimara Korogwe, umbali wa dakika 8-10 tu, au Bodaboda 1000 #Malipo ya Dalali Festo Ni Hela ya mwezi mmoja 200,000/= #Kwenda kuona (service charge) 20,000/=