Condition:
NEW
Description
Tunauza digital bean balance. Mzani wa kisasa Kwa ajili ya Kupimia uzito wa kuku pia unaweza Kupimia dawa/vitamin/chakula nk ✓Unapima kilo 0 Hadi 10 ✓Unatumia betri ndogo ✓hudumu sana na chaji *Faida za Kupima kuku uzito 1. Kujua kama wanakua vizuri. 2. Kujua kama wamefikisha uzito unaohitajika kuwauza. 3. Kama muda wao wa kutaga umefika na hawajaanza kutaga, unawapima kujua kama uzito wao umetosha kwa kuanza kutaga. 4. Kujua mapema uzito wa mitetea unapozidi ili kuwarudisha kwenye uzito unaofaa, kwani wakinenepa sana hawatataga vizuri. 5. Kujua mapema uzito wa kuku unapopungua ili kujua tatizo. Huenda wanaumwa, au hawashibi chakula au chakula wanachopewa hakina virutubisho vya kutosha.