Description
Mfugaji kwanini unapaswa utumie cage's ??? 1. Cages zinakusaidia kuweza kufuga kuku wengi katika eneo dogo. 2.Cages zinakusaidia kupunguza gharama za chakula, Kwa maana ni kiasi kidogo cha chakula ndio hupotea kulingana na mfumo mzuri wa chakula uliopo ndani ya cages. 3. Cages zinakusaidia kupunguza gharama za maji ya kuwapatia kuku kwasababu cages zina mfumo mzuri wa unyweshaji maji ambapo ni kiasi kidogo cha maji ambacho hupotea ukilinganisha na ufugaji wa kawaida 4. Cages zinakusaidia kuk