24.03.2023Dar es Salaam
Description
ngombe wa kisasa wa maziwa aina ya jersey crossbreed. ngombe amezaa mara tatu tu . utoaji wake wa maziwa ni lita 8 kwa siku nicheki tufanye biashara ukimpenda na ndama wake nakuuzia mimi ni mfugaji
Chat with Loki_tz
Call Loki_tz