Description
HII NI TREI YA KUZALISHIA CHAKULA CHA MIFUGO AMBACHO HUZALISHWA NDANI YA SIKU 7 - 10, KWA KUTUMIA NAFAKA KAMA NGANO, MAINDI, NA KADHALIKA, AMBAPO KILO 1 YA NAFAKA INAWEZA KUZALISHA KILO 7 - 10 ZA CHAKULA HIKI AMBACHO KINA VIINI LISHE VINGI IKIWEMO PROTEIN, CHAKULA HIKI NI BORA SANA KWANI KINAOKOA GHARAMA ZA VYAKULA VYA MIFUGO KWA ZAIDI YA ASILIMIA HAMSINI