Condition:
NEW
Description
Ndio ni mabati pekee yadumuyo kwa nyakati zote pia ukiweka order yako kupitia kampuni yetu iliopo kiwandani ALAF utajipatia punguzo la hadi asilimia 4% ya mzigo wote, pia order yako itatoka ndani ya wakati Unaruhusiwa kuleta vipimo spesho kwa ajiri ya kuzalishiwa bati zako Na pia unaruhusiwa kuchukua bati kwa size ya kawaida (mita 3) Ujanja ni kupaua nyumba yako na bati chaguo kutoka ALAF hakika ni zaidi ya ubora Fika ofisini kwetu Buguruni, chama DSM au waweza wasiliana nasi moja kwa moja ukalipia kiwandani kwa kupitia code yetu ukatutumia bank slip kisha tukakuahughulikia order yako Karibu sasa