Description
Viwanja vipo goba tegeta A ukivuka shule ya msingi kuelekea madawa. 1. 20/22meter kipo kazimoto street. Bei ni sh 13 mio mazungumzo yapo. 2. 20/30 meter kipo kazimoto street, kina kamtelemko kiasi bei 13mio. 3. 22/40 meter kipo kavimbirwa road, very smooth bei 35m 4.25/55 meter kipo kavimbirwa road, very smooth bei 35mio. 5. 20/20meter kipo kilimanjaro street. Very smooth. Bei 11.5m Vyote vina maongezi kiasi kwa mawasiliano 0767507487. Wahi ofa hii