Description
unapohitaji ujenzi wa uhakika na bora unapaswa kutumia mbao za uhakika na bora ,je kwanini tunasema mbao zetu ni Bora na za uhakika jibu hili hapa chini 1. mbao zimekomaa vizuri ,tunazivuna kutoka kwenye msitu wa serikari(umri wa miaka 15 kwenda mbele) 2. tunaweka dawa Kwa kutumia mtambo ( mtambo wa kuzipika) ofa zetu ni usafiri Bure Hadi saiti+ misumari kenchi 7kg Ofisi zetu zipo BUGURUNI CHAMA DAR ES SALAAM