Condition:
NEW
Description
Tekdek bati zima linakua na upana wa cm 98 Yanatumika zaidi kwenye miradi mikubwa pamoja na miradi ya serikali. Sanasana Gauge 28 na Gauge 26. Hapa naweka bei za Gauge 28 Bei kwa Standard length ya urefu wa meter 3 sawa na futi 10