Description
ENEO LA SHULE YA AWALI INAUZWA IPO KIHONDA MOROGORO ENEO LINA MADARASA NA NYUMBA YA KUISHI ENEO LIPO KIHONDA KWA CHAMBO ENEO LINA UKUBWA WA SQUARE METER 1990 ENEO LIMEPIMWA NA LIPO SEHEMU NZURI LIPO KARIBU NA HUDUMA ZA JAMII BEI NI MILIONI TISINI(90, 000, 000) SIMU:0714444838/0752481398