Description
Shamba hili linapatikana kiwangwa wame Mkoko. kwa Bei ya milioni 1 na laki 2 kwakila heka Moja. umbali kutoka bala bala kuu ya lami kwenda Shamba km 14 Shamba hili linafaa kwa kilimo Cha umwagiliaji na kilimo Cha msimu wa nvua. pia Shamba hili linafaa kwa kilimo.namakazi na ufugaji mdogo mdogo. kalibu mteja