10.10.2023Dar es Salaam

Nyumba zipo 3

TZS 250

Description

Nyumba zipo 3 na njee frem 2 1 ina vyumba 2, sebule, jiko, choo ndani 2 ina chumba na sebule, choo ndani 3 ina chumba na sebule, choo ndani 4 Frem zipo 2 Nyumba ipo mwananyamala Ukishuka koma koma ni dk 3 unafika ukishuka mwananyamala hospital dk 5 unafika ukishuka B kinondoni dk 10 unafika Ipo karibu na club africando Ukubwa wa kiwanja ni Sqm 511.9 MAWASILIANO 0677916791 whatsapp bonyeza hapa 👇👇 wa.me/+255677916731

Shafiiqshop

Member since 2023.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam