29.07.2024Dar es Salaam

Nyumba zinauzwa zipo 4 mbagala

TZS 220 000 000

Description

nyumba zinauzwa mbagala chamanzi kwa mapunda nyumba zipo 4 zinauzwa ndani ya fenci moja kila nyumba moja inavyumba 3 vya kulala chumba kimoja master bedroom inasting room daining room jiko stoo pablic toileti nyumba zipo kalibu na barabara kubwa ya lami nyumba zinadokomenti zote mteja bei milioni 220 maongezi yapo kwa mteja muitaji pg sm 0672747232 ukitaka kupangisha kila nyumba moja laki 3 kwa kila mwezi kalibu saana mteja wetu tufanye biashala

Hamish a.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam