29.09.2022Dar es Salaam

nyumba za kupangisha na kuuza

TZS 150 000

Description

nyumba za kupangisha kwa bei nafuu na pia zipo zinazouzwa pamoja na viwanja. maeneo ya gongo la mboto ukonga chanika kigogo pamoja na mbezi lous. bei ya kupangisha inaanzia 150000 zipo karibu na barabara maji yapo zote zina umeme pia ni karibu na shule za msingi pamoja na sekondari.

Shabhani f.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam