Description
NYUMBA KALI SANA YA KISASA INAUZWA, INA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER, NA CHOO CHA PUBLIC, PIA INA KIWANJA KIKUBWA CHA KUJENGA NYUMBA NYINGINE NA FREMU ZA BIASHARA KAMA 8, NYUMBA IPO VIKINDU, BEI MIL. 55,000,000/= MAONGEZI YAPO. KARIBUNI SANA NINAPOSEMA MPYA NAMAANISHA 0716 8113866, 0688 043799 WAHI CHAP KABLA HAIJAWAHIWA. UMEME MAJI UPO, YAANI IPO FULL. UNAINGIA NA KULALA