05.11.2023Dar es Salaam
Description
NYUMBA IPO SINZA MAKABURINI MTAA WA PILI KUTOKA SHEKILANGO ROAD. SQM400, NYUMBA NI YA ZAMANI, UNAWEZA KUFANYA MAREKEBISHO AU KUIVUNJA KWA KUA ENEO LINAFAA KWA UJENZI WA APARTMENT,HOTEL, LODGE AU NYUMBA BINAFSI YA MAKAZI.
Chat with Sulle
Call Sulle