04.02.2024Dar es Salaam

Nyumba inauzwa

TZS 45 000 000

Description

Nyumba ipo Dege before Dege village. Eneo 2000sqm, ina vyumba 6 vyote master. kumbi kubwa mbili na ukumbi ndogo mmoja. Eneo kubwa la Parking la kutosha. Bei inaanzia 450M

Hamad A. s.

Member since 2023.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam