Description
NYUMBA INAUZWA IPO MKUNDI MOROGORO MJINI NYUMBA IPO MKUNDI BAR MPYA NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE YENYE DINNING NA SITTING ROOM, JIKO, STORE NA PUBLIC TOILET. NYUMBA IPO KWENYE KIWANYE KIWANJA CHENYE UKUBWA WA 20 KWA 40 NYUMBA IPO METER 300 KUTOKA BARABARA YA KWENDA DODOMA NYUMBA IPO JIRANI NA HUDUMA ZA JAMII BEI NI MILIONI SABINI(70, 000, 000) SIMU:0714444838/0752481398