Description
Nyumba ipo mbezi beach makonde jirani na jogoo nyumba ni ya kisasa kabisa ina vyumba vinne vya kulala ikiwemo master bedrooms 3. Ina public toilet, jiko, stoo, dining room na seeting room kubwa ina uwanja wa kutosha kupaki magari yako ukubwa wa eneo ni square 1200 umiliki ni hati miliki bei milioni 400 maongezi yapo maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948