Description
nyumba inauzwa mbagala chamanzi nyumba bado ni mpya bei milioni 65 maongezi yapo kwa mteja muitaji pg sm 0672747232 nyumba inahati nyumba ipo kwenye mtaa uliopangiliwa inavyumba vitatu vya kulala chumba kimoja master bedroom inasting room daining room jiko stoo pablic toileti kalibu sana mteja wangu tufanye biashala