21.07.2023Dar es Salaam

Nyumba Inauzwa KONGOE

TZS 2 200 000

Description

Nyumba ipo temeke kongoe ni nyumba ya vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa ina uwanja wa kutosha kupaki magari yako bei ni milioni 22 maongezi yapo maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948

John

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam