Description
NYUMBA INAUZWA IPO KARIBU NA MOROGORO SECONDARY MOROGORO NYUMBA IPO KWENYE KIWANJA KILICHOPIMWA NA KINA HATI KIWANJA KINA UKUBWA WA SQUARE METER 1200 NYUMBA INA VYUMBA NANE VYA KULALA, SEBULE, JIKO, STORE NA PUBLIC TOILET. PIA KUNA MABANDA YA KUFUGIA KUKU NYUMBA IPO SEHEMU YENYE UTULIVU BEI NI MILIONI MIA MOJA(100, 000, 000) SIMU:0714444838/0752481398