27.07.2023Dar es Salaam

Nyumba Inauzwa Kigamboni Kibad

TZS 37 000 000

Description

Nyumba ipo Kigamboni Kibada jirani na fancity ni nyumba kubwa ilikuwa inatumika kama hospitali ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa pia ina servant corter moja enye vyumba viwili na eneo kubwa limebaki la kujenga hata nyumba zingine kwa maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948 gharama ya kuona nyumba ni shilingi elfu 20 karibu sana

John

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam