Description
NYUMBA INAUZWA – CHASIMBA* Inauzwa nyumba kubwa na nzuri iliyopo maeneo ya *Chasimba*. Inafaa kwa makazi au uwekezaji kutokana na ukubwa na mpangilio wake wa vyumba. *Sifa za nyumba:* 🏠 Vyumba 7 vya kulala 🚽 Vyoo 4 💧 Maji na umeme vinapatikana 🧱 Imezungushiwa ukuta kwa usalama zaidi 📌 Eneo linafikika kwa urahisi *Bei*: TSh *60,000,000* (maongezi yapo) *Contact: 0786522839