Description
nyumba inauzwa chanika kwa bwaja bei milioni 45 inavyumba vitatu vya kulala chumba kimoja master bedroom inasting room daining room jiko stoo pablic toileti ukubwa wa eneo SQM 800 mteja pg sm 0672747232 ndani ya fenci kunamabanda ya kuku kalibu saana mteja wangu