Description
Temeke charambe vigozi kwa kashi ni nyumba ya vyumba vinne vya kulala na sebule na fremu moja la biashara nyumba ina maji na umeme upo jirani gari haifiki mpaka nyumba ilipo inaishia nyumba ya pili bei ni milioni 8 tu kupanga sio dili pata NYUMBA yako sasa kwa bei nafuu kabisa piga simu 0653204486 au 0687034948