Description
ipo goba container kamawaelekea mbez masana ina eneo la sqm 1800 na hati milikinya miaka 99 ina rooms 4 zote.self contained, jiko kuubwa, dinning, sebule na public toilets ina servant kota ina sqimming pool la kisasa kabisa mtaa mzuri ni vigogo tupu wanaish