20.04.2022Tanzania, Morogoro

Kiwanja nanenane morogoro

TZS 25 000 000

Description

kiwanja cha kibiashara na makazi kinauzwa nanenane morogoro mjini. kimepakana na JORDAN UNIVERSITY, kipo mita mia moja kutoka barabara kubwa ya lami, ni karibu na shule ya mount fori, waweza jenga nyumba ya kuishi au HOSTELI ZA WANACHUO, kipo mita 20 kutoka chuo kikuu cha Jordani, umeme upo, maji yapo, ukubwa ni sam 800. bei ni milion 25, piga 0652644084/0734443403

ANTONY S.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Morogoro