24.03.2022Tanzania, Dar es Salaam

KIWANJA KINAUZWA KINYEREZI

TZS 200 000 000

Description

SWAHILI ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ KIWANJA KINAUZWA KINYEREZI. Kipo: KINYEREZI MTAA WA MAHAKAMANI — Kiwanja kipo karibu na MAHAKAMA YA WILAYA YA ILALA — Kiwanja kinaka ukubwa wa mita za mraba 1,600 — Kiwanja kimepimwa tayari na nikiwanja cha pili kutoka barabara ya lami. _Kiwanja kina nyumba moja ya kizamani pia kimezungushiwa fensi na geti. — Kiwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga, n.k. — Huduma za kijamii zinapatikana karibu na plot — Eneo lililozunguka plot tayari limeendelezwa

DASH B. C. L.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam