Description
Viwanja viko: MADALE MIVUMONI. — Viwanja vimepakanana barabara ya lami ya Mtaa. — Viwanja vimepimwa tayari na vina ukubwa mita za mraba 787+ — Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Na Biashara. — Huduma zote za kijamii zinapatikana karibu na viwanja. — Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa sana. — Bei: Tsh. 55,000,000/- — Hati miliki utapata baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja.