Description
karibu kwa makabati ya aina zote na ya rangi aina zote kuna makabati milango2,3 kutokana na wewe upendavyo kazi ni nzuri sana tunapatikana Tabata tucheki kwa namba hizi muda wote. Pia tunafanya kazi za kupauwa majumba na kunga gypsam kwa gharama nafuu sana ,kutengeneza milango na fremu za milango bamoja na makabati ya jikoni ya mbao ngumu kama vile mninga,mkongo au mtiki 0659514784 au 0753999159