Description
nyumba inauzwa ipo mlandizi..km 3 kutoka barabara kuu ya morogoro...ipo katika eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 888. Eneo linafikika kwa urahisi kutokea SHELI YA KARAGWE OIL. NYARAKA ZOTE MUHIMU ZIPO. Bei million 30..mazungumzo yapo KARIBU TUPIGIE 0624544831 @Ardhi kiganjani land investment