11.10.2025Dar es Salaam

Gholofa linauzwa kimara suka

TZS 230 000 000

Description

gholofa linauzwa kimara suka dar es salaam lenye sifa hizo hapo mteja wangu pg sm 0672747232 juu vyumba vitatu vya kulala vyumba vyote ni master bedroom sebule kubwa na jiko la kisasa chini chumba kikubwa sebule kubwa jiko choo master na pablic toileti pia kunabay kota ya chumba kimoja master kunakisima kikubwa cha maji na mawaso pia ipo ukubwa wa eneo SQM 1167 gholofa kinahati miliki ya title DEED ya widhala ya ardhi kalibu sana mteja wangu

Hamish a.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam