19.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Decking of plastic timber

TZS 34 500

Condition:

NEW

Description

Mbao za plastiki, ni mbao imara, ambazo haziozi, haziliwi na mchwa wala kubinguliwa, ni mbao imara ambazo zinaweza kudum ata sehem yenye maji, zinaweza kukaa kwenye maji na zisiweze kuharibika, zinatumika kawaida kama mbao zingine kutengeneza samani za nyumbani, fensi ya nyumbani, fensi ya shambani na sakafu ya kutembelea.

Erick Mtataina

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam