22.06.2022Dar es Salaam

Corrugated sheets

TZS 26 500

Description

Sunbank Mabati ni Kampuni inayojihusisha na uzalishaji na usambazaji wa Mabati ya aina zote. Bidhaa hii imetengenezwa Kwa ufanisi Kwa mchanganyiko wa material mbalimbali ikiwemo chuma aluminium na zinc ambayo kazi zake ni kuimarisha bati kuwa gumu, kuimarisha ubora wa rangi(kupauka) na kufanya bati lako liishi miaka mingi zaidi bila kupata kutu" na kubaki na muonekano ule ule Kwa miaka mingi. pia tunatoa warranty miaka 5,10 Hadi 20. Tuna geji 30,28 na 26. Bati za aina zote zinapatikana. karibu.

Sunbank M.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam