21.01.2023Dar es Salaam

Chumba Kinapangishwa toangoma

TZS 50 000

Description

Chumba na sebule toangoma, Bei ni sh 50,000 kwa mwezi. chumba kipo barabaran karibu kabisa na stand ya stanley. Nyumba wapangaji wawili tu na kila mtu na choo chake, mwenye nyumba hakai hapo Mawasiliano Piga/whatsapp no 0716597929 NB: Hakuna hela ya dalali

Robin T.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam