Description
🌊MRADI MPYA!!! BUYUNI BEACH PLOT. -Ni mradi mzuri,wa kuvutia sana na unaogusa maji. -Mradi upo Kigamboni Buyuni. -Umbali ni 50km toka Kigamboni Ferry. -Huduma zote za kijamii zinapatikana. -Mradi umepimwa. -Eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia kwa kweli. -Full upepo wa bahari. -Bei ya square meter moja ni 70,000. -Hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja. 0763465758