10.03.2022Tanzania, Morogoro

ANZA NA MILION 1 UPATE KIWANJA

TZS 3 000 000

Description

Kampuni ya SOKONI REAL ESTATE inakopesha viwanja vilivyopimwa katika mji wa kingolwira morogoro manispaa bila riba kwa muda wa miezi 6, lipa nusu ya bei ya kiwanja kisha fedha inayobaki lipa kidogo kidogo kwa miezi 6, ukimaliza unakabidhiwa hati miliki yako, viwanja vinaanzia milion 3,(sqm 1=7500) ofa hii itaisha tarehe 01/07/2022. Piga simu / AU FIKA OFISINI KWETU MASIKA MOROGORO MJINI

ANTONY S.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Morogoro