Description
Plot size sqm 1000 Nyumba upande mmoja una vyumba viwili, sebule choo na jiko, upande wa pili una chemba sebule mara mbili. Nyumba imafanyiwa Kila kitu finishing utamalizia mwenyewe utakavyo. Eneo lina fensi. Eneo lipo Kivule/ Ilala. Simu 0687611028 Mazungimzo yapo.