Description
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MBEZI MWISHO NJIA YA MAKONDEKO(DAR ES SALAM) Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet Umiliki: Hati Ya Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari ) Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo Ukubwa Wa Eneo: SQM 900 Barabara Iko Vizuri Mpaka Kwenye Nyumba Bei : 85 Million (Maongezi Yapo) Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000/= Contact 0620876252