Description
*VIWANJA VINAUZWA KIFURU - DAR ES SALAAM* Fursa nyengine ya uwekezaji wa Ardhi katika Mkoa wa Dar es salaam. Viwanja vinauzwa Kifuru "Soweto" Manispaa ya Ilala Dar es Salaam. Viwanja vipo viwili katika eneo moja na kila kimoja kina ukubwa wa hatua 20x20 (sqm400+ kwa makadirio ya kila kiwanja) Vipo jirani na barabara ya lami ya Mbezi - Kinyerezi, 300mt kutoka stand ya Bus mpaka kwenye viwanja na vimezungukwa na Nyumba za kisasa. Bei ya kila kiwanja ni 10mil tsh na Maongezi yapo.