07.09.2023Dar es Salaam

SHAMBA LENYE MITI LINAUZWA

TZS 113 000 000

Description

SHAMBA LENYE MITI LINAUZWA BINAFSI Location: Kijiji cha Udumuka Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa Ukubwa: Ekari 100 na lote tayari lina bikoni mnunuzi atamalizia taratibu za kupata hati kwa majina yake Distance: Km 28 Kutoka Mafinga mjini Bei: Ekari moja inauzwa Tshs 1,300,000/- na linauzwa lote kwa pamoja. mazungumzo yapo Umri: Miti ina umri wa miaka 6 hadi 8 Mawasiliano: 0623382878/0787288442 Email: [email protected] Insta: @maneke64 Jiji Tanzania: Maneke Company Tisitano: Robert Maneke

Maneke C.

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam