Description
shamba la eka 100 linauzwa shamba hili lipo hapa Kijiji Cha kwangandu kata ya mbwewe halimashali ya chalinze wilaya bagamoyo mkoa pwani shamba hili linauzwa lote milioni 20 shamba lipo kilometa 6 kutoka barabara yalami 0656878067 0624973696