07.06.2023Pwani
Description
shamba la eka 10 linauzwa lote milioni 15 shamba hili lipo Kijiji cha bago kata ya kiwangwa wilaya bagamoyo mkoa pwani shamba lipo kilometa 1 kutoka barabani hii ya kuelekea msata bagamoyo kwamawasiliano 0656878067
Chat with Mashaka
Call Mashaka