Description
shama hili linapatikana kiwangwa wame mkoko. halimashauli ya chalinze.wilay bagamoyo pwani.kwabei ya milioni 1 na laki 5 kwa Kila heka 1 umbali kutoka bala bala kuu ya lami mpaka Shamba km 14 Shamba hili nizuli unaweza kulima kilimo Cha umwagiliaji.na kilimo Cha msimu wa pia Shamba hili linafaa kilimo na makazi na ufugaji mdogo mdogo.kalibu mteja Shamba nizuli na halina changamoto yoyote