04.08.2023Pwani
Description
Shamba hili linapatikana kiwangwa bagamoyo pwani kwabei ya laki 5 kwa Kila heka 1 umbali kutoka bala bala kuu ya lami kwenda Shamba km 4 Shamba hili nizuli linafaa kwa kilimo na makazi.bala bala ya kwenda Shamba ipo na nzuli.kalibu mteja
Chat with Ismaili
Call Ismaili