Description
SHAMBA LA EKARI 3 LINAUZWA MWAVI FUKAYOSI Lipo umbali wa kilometa 1 kutoka main load ya bagamoyo msata kila ekari 1 inauzwa shilingi milioni 2 na nusu shamba ni zuri sana unaweza ukapanda mazao yoyote yale kama vile nanasi, miembe ,migomba,korosho,nazi,papai,mahindi,nk Call $ whatsapp +255713928950