Description
madume ya ngombe wa maziwa wana mwaka mmoja na mwezi mmoja ni madume mazuri na wenye afya njema kwa malengo ya uzalishaji wa baadae wa ngombe wa maziwa wanaotoa maziwa mengi kutokana na vinasaba kutoka kwa wazazi wanaotoa maziwa mengi lita 18 kwa siku.