15.07.2025Pwani
Description
shamba la eka 10 linauzwa shamba hili lipo hapa Kijiji Cha bago kata ya kiwangwa wilaya ya bagamoyo mkoa wa pwani shamba hili linauzwa lote milioni 6 kwamawasiliano zaidi piga simu namba 0656878067
Chat with Mashaka
Call Mashaka