13.08.2023Dar es Salaam

Boma/pagare linauzwa na bank

TZS 7 000 000

Description

Pagare lipo msongora yangeyange unaingilia kitunda fremu kumi. Pagala lina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa ina uwanja wa kutosha kupaki magari yako bei ni milioni 7 TU kwa maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948

John

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam